Intestine Cleansing Tea
Viungo:
Cassia seed, green tea, hawthorn, mulberry.
Kazi Na Faida Zake
- Kulainisha kuta za utumbo, kulainisha kinyesi kikavu na kigumu
- Kusaidia kuzaliana kwa bakteria rafiki
- Kusaidia ufyonzwaji wa maji katika utumbo
- Kuboresha usukumaji wa chakula ndani ya utumbo, kuondoa mikunjo kwenye utumbo
- Kukarabati ngozi nyembamba inayotoa ute ndani ya utumbo (Intestinal tract mucosa).
Yafaa Kwa:
- Watu waliofunga choo
- Watu wenye chunusi, madoa juu ya ngozi, ngozi kavu, ngozi iliyolegea.
Maelezo Muhimu:
Sumu (toxin) ni vitu vibaya ambavyo havitakiwi na mwili ambavyo mwili hauna uwezo wa kuvitoa. Tunaweza kuwa hatugundui lakini kila wakati vinashambulia ngozi na seli zetu kimya kimya. Sumu hukaa ndani ya viungo vyetu vya mwili, tishu, damu n.k.
Viwango vya sumu katika baadhi ya viungo ni kama;
Mkondo wa utumbo - kilo 1-15
Maini na nyongo - kilo 1/2 - 5
Maungio ya mifupa - kilo 3
Sehemu nyingine - kilo 1/2- 2
Kiwango cha sumu kinachotakiwa kutolewa kutoka kwenye mwili kinaweza kuwa kilo 3 hadi 25!
Kuna vyanzo viwili vya sumu katika mwili;
. Exotoxin: uchafuzi wa mazingira, mtindo wa maisha usio bora, chakula kisichojitosheleza
. Endotoxin: mabaki ya utendaji kazi wa mwili (metabolism), kwa mfano, radikali huru, kufunga choo (constipation).
Radikali huru ndizo sumu zinazopatikana kwa wingi zaidi katika mwili, zenye umbo dogo kuliko aina nyingine zote na zinapatikana maeneo yote ya mwili. Unapovuta pumzi, asilimia 98 ya oksijeni hutumika na asilimia 2 inayobakia hubadilika na kuwa radikali huru. Utafiti wa miaka ya karibuni unabainisha kuwa radikali huru ni mhusika mkuu katika kuzeeka kwa mwili.
Kufunga choo ndicho chanzo kikuu cha sumu ndani ya mkondo wa utumbo. Mtu mzima ana wastani wa kilo 6.5 za mabaki ya chakula tumboni na katika hizo kilo 2 huwa zimekwisha oza. Kama kinyesi hakitolewi katika siku mbili, kitatengeneza sumu aina tofauti zifikiazo 36, ambazo zinaweza kuleta magonjwa ya aina tofauti 179.
Kuhusu Intestine Cleansing Tea:
Intestine cleansing tea inafanya kazi ya kuzuia kinyesi kisigande kwenye kuta za utumbo, hivyo kusaidia kinyesi kutiririka kirahisi. Sumu haziweza kuzalishwa. Afya na lishe ya mwili kwa hiyo itakuwa bora.
Cassia Seed:
Inafanya kazi ya kuondoa joto katika mwili, kuboresha uwezo wa macho kuona , kulegeza njia ya utoaji wa mabaki ya chakula. Inaweza kutumika katika kutibu joto kwenye macho, maumivu ya macho, hali ya macho kutopenda mwanga, maumivu ya kichwa (kutokana na kutanuka kwa arteri katika ubongo - cephalalgia), kizunguzungu, macho kutokuona vizuri, kuziba choo n.k.
Green Tea:
Caffeine ndani ya green tea inasaidia utolewaji wa kemikali ndani ya tumbo za kusaidia mmeng'enyo wa chakula na kuvunjavunja mafuta. Inaweza pia kuusaidai utumbo mdogo kutoa sumu nje na kuuacha mwili wako ukiwa na afya.
Mulberry:
Mulberry inafanya kazi ya kuboresha damu, kusaidia utoaji wa mate au ugiligili katika mwili, kuleta unyevunyevu katika mwili. Inaweza kutumika katika kutibu kizunguzungu, kutibu tatizo la mlio kwenye masikio (tinnitus), mapigo ya moyo kwenda kasi, kuota mvi mapema, kiu, ukosefu wa damu, kufunga choo, n.k. Inarutubisha maini, figo na majimaji ya mwili. Inaweza pia kuponya tatizo la kutokuona vizuri, aina fulani za TB (scrofula) na kukakamaa kwa maungio ya mifupa.
Hawthorn:
Inasaidia mmeng'enyo wa chakula, kusaidia afya ya tumbo, kusaidia mtiririko wa chakula tumboni na kuzuia kuziba kwa utumbo. Inasaidia kuondokana na kujijenga kwa nyama, kupanuka kwa mfuko wa tumbo, kuharisha, maumivu ya tumbo, kuziba kwa damu, tatizo la kukosa hedhi, maumivu ya kuchoma kwenye moyo na tumboni, maumivu yatokanayo na hernia, uwingi wa lipids ndani ya damu n.k.
<<<<< MWANZO